Hii ni album yangu ya mwisho-Harmonize

Mwimbaji Star Harmonize amezungumza na waandishi wa Habari Leo hii kuhusu ujio wa tukio lake kubwa analotarajia kufanya tarehe 25 katika kumbi za Mlimani City ambapo atazindua album yake ya tano aliyoipa jina la Muziki wa Samia akiwa na lengo kupongeza na kusuport harakati za Rais Samia…

Album yangu ya mwisho baada ya hii na kusema ameimba sana kuliko kawaida na ametengezeneza nyimbo 10 ambazo zote zinamlenga Rais Samia hivyo baada ya hii album atahitaji kupumzika na kurefresh huku akiwa anaachia wimbo mmoja mmoja na sio album tena… na utakuwa ni Usiku wa mialiko na hakutakuwa na viingilio

 

Related Posts