Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Jukwaa la Tatu la Ushirikishwaji

 

Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Jukwaa la Tatu la Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini leo Mei 22, 2024 jijini Arusha. 

Jukwaa hilo la siku tatu linaloambatana na maonesho  linalotarajiwa kumalizika Mei 24, 2024 linakutanisha wadau wa madini ikiwa  ni pamoja na wamiliki wa leseni za madini, watoa huduma kwa wamiliki wa leseni za madini, Taasisi za Fedha na Taasisi za Serikali.

 

Related Posts