Ni Mei 23, 2024 ambapo Mabingwa wa kihistoria, Young Africans SC wamepata fursa adhimu ya kujumuika na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mapema leo Bungeni Dodoma.
The post Picha: Viongozi na Wachezaji wa Yanga SC wakiwa Bungeni Mkoani Dodoma ‘Mabingwa’ first appeared on Millard Ayo.