Rais Dkt.Mwinyi amuapisha naibu mkuu wa KMKM Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo amemuapisha Kepteni Hussein Mohamed Seif kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo(KMKM) Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Mnazi Mmoja tarehe:23 Mei 2024.   

Related Posts