Bilionea wa zao la parachichi anayeingiza Milioni 200 kwa msimu

AyoTV katika kambi iliyoweka Njombe imekutana na Mfanyabiashar na Mkulima maarufu wa maparachichi anaitwa Stiven Mlimbila elimu yake ni darasa la sabab alifaulu ila hakifanikiwa kuendelea masomo sababu ya kipato.

Akaanza kufanya kazi ya saidia fundi, akawa fundi ujenzi na baadae akawa anafanya usafi katika Ofisi za Halmashauri Iringa akafukuzwa kazi hela akiwa kazini aliyokusanya laki mbili ndio ilikua safari yake ya kilimo.

Laki mbili yake alianza kujenga nyumba na akaanza Kilimo cha parachichi akiwa na miti 7, baadae akanunua nusu Eka ya shamba kwa Elfu hamsini akapanda miti 45.

Mpaka sasa ana Ekari 200 zote amepanda parachichi na anakuambia akivuna kwa Msimu mmoja anaingiza Milioni 200

Related Posts