Vipaumbele wizara ya elimu Zanzibar kwa mwaka wa fedha 20224-25

Mapendekezo ya ripoti ya mageuzi ya sekta ya Elimu,Wizara ya Elimu na Mafunzo ya amali Zanzibar inaendelea

1 .Kuimarisha uongozi na usimamizi wa elimu katika ngazi zote za elimu zikiwemo Skuli, Wilaya, Mkoa na Wizara.

2 . Kuimarisha mfumo wa tathmini ya maendeleo ya elimu ya wanafunzi katika ngazi zote za elimu na kupandisha
ufaulu wao kuimarisha miundonmbinu ya Elimu

3 .kujenga madarasa 1500 kupitia ujenzi wa Skuli za Ghorofa, Skuli za Chini na kukamilisha madarasa yaliyoanzishwa na
wananchi, kwa Unguja na Pemba, nyumba 20 za walimu, Ofisi ya Wizara, Ofisi 4 za Elimu Wilaya, vyoo
300, Dakhalia 8 zikiwemo dakhalia za wanaume za Chwaka Tumbe na Paje Mtule pamoja na kuzifanyia
ukarabati mkubwa na mdogo skuli 100 za Msingi na Sekondari. Kujenga karakana (workshop) za Elimu ya Amali

4. katika skuli 33 za Sekondari Unguja na Pemba (karakana 3 kwa kila Wilaya) na kujenga uzio katika skuli ya Sekondari ya
Hasnuu Makame na Mohamed Juma Pindua.

5. Kuimarisha matumizi ya tekonolojia katika kufundishia na kujifunzia kwa kuziunganisha na mkonga wa taifa
taaasi za Elimu zikiwemo; skuli 217 za Sekondari, Vituo vya walimu 12 na Vituo vya Ubunifu wa Kisayansi (Hubs) 22 pamoja na kuzipatia vifaa vya TEHAMA.

6 . Kuendelea kutekeleza mtaala mpya wa umahiri kwakuwapatia walimu mafunzo na vifaa vya kujifunzia na kufundishia vikiwemo vya Watoto wenye mahitaji maalumu. Kuimarisha Mafunzo ya Ufundi na Amali kwa vyuo vitano vya Mafunzo ya Amali, utanuzi wa Chuo cha Karume (KIST) na ujenzi wa chuo cha ubaharia na kuzipatia vifaa.

7 .fursa ya upatikanaji wa mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu Zanzibar kuanzia ngazi ya Diploma

8 . kuanza mradi wa
kujenga kampasi ya kudumu ya Chuo cha IIT Madrasa; Ujenzi wa Jengo la Skuli ya kilimo, Jengo la maabara ya sayansi ya kisasa – SUZA, Ujenzi wa skuli ya Afya, skuli
ya meno na kliniki yake -SUZA.

9. Kuimarisha huduma za maktaba kwa kuanza kujenga na kuimarisha maktaba mpya ya kisasa pamoja na maktaba mtandao (e-library)

Related Posts