MABINGWA wa michezo ya kubashiri kampuni yaMeridianbet wamefanikiwa kufika eneo la mji mwemamaeneo ya Kigamboni kwajili ya kutoa msaada kwenyemoja ya Zahanati ambayo inapatikana maeneo hayo.
Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri pia walitoa msaada waReflectors zinazopatikana katika eneo hilohilo la Mji mwemakwa Bodaboda wanaopatikana katika maeneo hayo ilikuwasaidia katika shughuli zao za kila siku.
Meridianbet wamekua na utaratibu wa kuhakikisha wanarudishakwenye jamii yake pale ambapo wanapata nafasi ya kufanyahivo, Kwani wanaamini jamii inakumbwa na matatizo mengiambayo yanahitaji utatuzi.
Lengo kubwa la kutoa msaada haswa kwenye Zahanati wa vifaavya usafi ni kuhakikisha wanaimarisha usafi katika eneo hilo, Kwani eneo ambalo linatoa huduma za kiafya ni eneo muhimuzaidi na linapaswa kua na mazingira safi.
Msaidizi wa kitengo cha Mawasiliano na Masoko kutokaMeridianbet bwana Abubakar Kulindwa alipata nafasi yakuzungumza machache baada ya kukabidhi vifaa ambapoalisema “Nina furaha kubwa kufika eneo hili na mapokeziambayo nimeyapata lakini kubwa zaidi ni sisi kuguswa najamii ambayo imetuzunguka na kuhakikisha tunajaribukupunguza baadhi ya matatizo ambayo yanaikabili natunamshukuru Mungu tumelifanikisha hilo kwa ushirikianowenu mkubwa”.
Suka mkeka wako kwenye michezo mikali ya itakayopigwakatika ligi mbalimbali barani ulaya wikiendi hiiMachaguo zaidiza 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubirinini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`
Aidha Mganga wa eneo hilo aliweza kufurahishwa na kitendohicho kilichofanywa na mabingwa hao wa michezo ya kubashirinchini Tanzania, Huku akitoa wito kwa makampuni menginekuweza kufata nyayo za Meridianbet katika kuhakikisha wanaikumbuka jamii yao.