PROMOSHENI ya Expanse Tournament ndani ya Meridianbet Kasino bado inaendelea, nafasi ni yako wewe mpenzi wa michezo ya kasino ya mtandaoni kuendelea kupiga pesa nyingi. Kushiriki kwenye promosheni hii jisajili hapa.
Katika promosheni hii unapokuwa unacheza mchezo wako pendwa wowote ule uliotengenezwa na Expanse, dau la chini kwa kila mchezo ni Tsh 400/= mfano Sloti ya sticky 777, unaucheza huku unapata bonasi za kasino kibao.
Fanya Yafuatayo Kwenye Kasino ya Mtandaoni
Promosheni hii imeanza 19.05. 2024 mpaka Juni 04 ambapo, bonasi za kasino zitagawiwa kwa washindi watakaokuwa wanatangazwa kila siku, baada ya kucheza moja kati ya michezo ya kasino ya mtandaoni iliyopo Meridianbet kutoka Expanse studio.
Promosheni ni halali kwa wachezaji waliosajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz
Promosheni itafanyika katika mtindo wa mashindano kwa wachezaji kwenye sloti zinazotolewa na Expanse Studio. Michezo ya kasino ya mtandaoni itakayotumika wakati wa promosheni ni:
Forest Rock
Fortune Farm
Lucky’s Betting Shop
Maya’s Treasure
Piggy Party
Spinning Buddha
Sticky 777
The Book of Eskimo
Veni Vidi Vici
Wild Corrida
Zombie Apocalypse
Battle for the Throne
Bounty Hunters
Capital City Derby
Casino Heist
Fairy in Wonderland
Odd One Out
Planet Power
Shaolin Crew
Kulingana na msimamo wa mwisho, wachezaji 40 watazawadiwa pesa taslimu na mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kama ifuatavyo:
• Nafasi ya Kwanza: 1,250,000 TZS Taslimu
• Nafasi ya Pili: 750,000 TZS Taslimu
• Nafasi ya Tatu: 250,000 TZS Taslimu
• Nafasi ya Nne: 125,000 TZS Taslimu
• Nafasi ya Tano: 125,000 TZS Taslimu
• Nafasi ya 6-10: Mizunguko ya bure -300 kwenye Slot ya PIA
• Nafasi ya 11-20: Mizunguko ya bure -200 kwenye Slot ya PIA
• Nafasi ya 21-30: Mizunguko ya bure- 100 kwenye Slot ya PIA
• Nafasi ya 31-40: Mizunguko ya bure -50 kwenye Slot ya PIA
Ushindi utakaotokana na Mizunguko ya bure utahitaji kuzungushwa mara 60x (kwa mfano, ukishinda TZS 10,000 kwenye Mizunguko ya bure, utahitaji kucheza TZS 600,000 kwenye mchezo uleule ili kuhamisha ushindi wako kwenye akaunti ya pesa halisi).
Taarifa kuhusu malipo ya juu kwa kila Kundi la Mizunguko ya bure, washindi watapokea taarifa ambayo itatumwa kwao si zaidi ya saa 13:00 AM tarehe 05.06.2024.