DKT.NCHIMBI ASHIRIKI UZINDUZI WA ALBAMU MPYA YA MSANII HARMONIZE

Mheshimiwa Dk Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, alipowasili katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya uzinduzi wa albamu mpya ya Msanii wa Mziki wa Bongofleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize au Konde Boy, uliofanyika ukumbini hapo, ukipewa kauli mbiu ya *#MzikiwaMama*, *#SamiaDay*, ambapo Rais Samia alikuwa mgeni rasmi. Wengine pichani ni pamoja na Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamaduni, Dk Damas Ndumbaro, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Albert Chalamila na Harmonize, ambaye pia ni Mmiliki wa Kundi la Mziki la Konde Music Worldwide.

Related Posts