IGP WAMBURA AZUNGUMZA NA WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI MIHAYO MKOANI TABORA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Mihayo iliyopo mkoani Tabora leo tarehe 26 Mei 2024 mara baada ya kumalizika kwa ibada ya Misa takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Theresa wa Mtoto Yesu Jimbo Kuu la Tabora ambapo aliwataka watoto hao kuendelea kuishi katika maadili na kumtumikia Mwenyezi Mungu na kuzishika njia zimpasazo pamoja na kuongeza juhudi na maarifa kwenye masomo yao ili baadae waje kushika nafasi mbalimbali za uongozi na kuliongoza taifa letu.


Related Posts