Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuwakilisha Makamu wa Rais. Dkt Philip Isdor Mpango kwenye mapokezi na maadhimisho ya sherehe ya kuwekwa wakfu kwa askofu msaidizi wa jimbo kuu la Mbeya Geofrey Jackson Mwakasega na Jubilei ya Miaka 125 ya Uinjilishaji jimbo kuu la Mbeya.
📍Uwanja wa Sokoine-Mbeya