Unguja. Zanzibar imesajili laini za simu za mezani na mkononi 849,082 sawa na kadirio la watumiaji 446,885. Kati ya laini hizo, idadi ya watumiaji wa simu
Day: May 27, 2024
Moshi. Siku tatu baada ya kutokea kifo cha Ephagro Msele (43) anayedaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu na mkewe Beatrice Elias (36), Jeshi la Polisi Mkoa
Dar/Mikoani. Kama umewahi kuhisi maumivu ya kutwishwa mzigo mzito zaidi ya nguvu zako, basi hali hiyo ndiyo inayoukabili Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa), katika
Dodoma. Unaweza kusema kuti la mazoea limemuangusha mgema, msemo unaoendana na kile kinachowakuta wabunge, manaibu waziri na mawaziri kupigwa viwanja na wajanja. Pengine walijua wanaopigwa
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu ni sehemu ya mikakati ya serikali
SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia
Dar es Salaam. ’Inawezekanaje zaidi ya wanafunzi 600 wa shule moja kulewa na kulala darasani wakati wa masomo? Swali hili limekuja ikiwa ni siku chache
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Daniel Chongolo amechangia Tsh Milioni 5 wakati akiongoza Harambee katika Kanisa la Waadventista Wasabato katika Halmashauri ya Wilaya ya
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA , Bw.Msafiri Mtepa akijibu hoja wakati wa semina kuhusu ukokotoaji wa bei za bidhaa za mafuta kwa kwa Kamati
Dar es Salaam. Magonjwa kama homa ya mapafu na mengine yanayohusiana na baridi, yanatarajiwa kuwakabili wananchi katika kipindi cha kuanzia Juni hadi Agosti 2024. Uwezekano