Dar es Salaam. Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka kampuni 22 wakiambatana na maofisa wa serikali kutoka nchini Ufaransa, wapo nchini kutafuta fursa mpya za biashara katika
Day: May 28, 2024
Hospitali ya Taifa Muhimbli-Upanga na Mloganzila imeendelea kuandika historia Afrika Mahariki na Kusini mwa Jangwa la Saraha katika matibabu ya ubingwa bobezi kwa
DAKIKA za jioni kabisa. Vita imeisha. Stephane Aziz Ki wa Yanga ameibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara katika mechi ya mwisho wa msimu akimzidi
Nyota wa Real Madrid aliyekadiriwa kuwa na thamani ya Euro milioni 100, Rodrigo, amepuuza uvumi wa kujiondoa kufuatia kauli yake ya hivi majuzi. Rodrigo, fowadi
Moshi. Ni tukio la kutatanisha. Hii ni baada ya mzee mmoja aliyejulikana kwa jina la Saimon Macha kudaiwa kwamba jana akiwa hospitalini KCMC alikokuwa amelazwa,
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma. Serikali imesema kuwa msamaha kwenye vifaa tiba vya mazoezi yaani physiotherapy hutolewa kwa hospitali zilizosajiliwa na kuidhinishwa na Waziri wa
SAFARI ya Azam FC kuisaka nafasi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao imefanikiwa baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi
Mashabiki waliachwa na mshangao kwa kuonekana kwa Lionel Messi katika trela ya hivi punde ya Bad Boys 4, ambapo alizungumza Kiingereza hadharani kwa mara ya
Mbeya. Wakati wapiga debe kwa baadhi ya mikoa wakiwa wanalalamikiwa kuwabughudhi abiria katika vituo vikuu vya mabasi, hali ni tofauti mkoani Mbeya kwani wamekuwa mkombozi
Mtendaji Mkuu wa Chama cha waajiri Tanzania (ATE) Suzanne Ndomba Doran na Katibu Mkuu wa Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Herny Nkunda wakisaini mikataba na mikataba waliyosaini kwaajili ya kuimarisha Mafunzo