Dar es Salaam. Mechi za mwisho za msimu wa Ligi Kuu Bara zinaendelea kwa sasa, kwa upande wao Yanga inaongoza mabao 2-1 yakifungwa na Aziz Ki.
- Aziz Ki amefikisha mabao 20 akimwacha mpinzani wake Fei Toto mwenye 18, mechi zinaendelea
-
Mashujaa inaongoza bao 1-0 dhidi Dodoma Jiji
-
Ihefu inaongoza bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar dakika ya 19 ya mchezo
-
Singida inaongoza mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar dakika ya 23 ya mchezo
-
Kama matokeo yakibaki hivi, timu zitakazoshuka Mtibwa, Geita huku Tabora na Kagera Sugar zitasubiri kucheza Play off
-
Ihefu imepata bao la pili dakika ya 26 inaongoza 2-0
-
Namungo wamepata bao wanaongoza 1-0 dhidi ya Tabora United dakika ya 26
-
Mechi tatu hazina mabao hadi sasa dakika ya 30 Coastal Union vs KMC, Geita vs Azam na JKT vs Simba
-
Namungo wanapata bao la pili, wanaongoza 2-0 dhidi ya Tabora United
-
Kagera inasawazisha dhidi ya Kagera matokeo 1-1 hadi sasa, dakika ya 42 ya mchezo
Mechi zote zipo Matokeo mapumziko:
- Yanga 2-1 Tanzania Prisons, Singida 1-1 Kagera Sugar, Simba 0-0 JKT Tanzania, Namungo 2-0 Tabora, Mashujaa 1-0 Dodoma Jiji, Ihefu 3-1 Mtibwa Sugar, Geita 0-0 Azam, Coastal 0-0 KMC
- Msimamo Ligi Kuu Bara hadi mapumziko
P PTS
1.Yanga 30 80
2.Azam FC 30 67
3.Simba SC 30 67
4.Coastal Union 30 43
5.KMC FC 30 37
6.Namungo 30 36
7.Ihefu 30 36
8.Mashujaa 30 35
9.Prisons 30 34
10.Kagera 30 34
11.JKT 30 33
12.Singida 30 33
13.Dodoma 30 33
14.Tabora United 30 27
15.Geita Gold 30 26
16.Mtibwa Sugar 30 21
Kipindi cha pili kimeanza, mechi zote zimeanza, karibu uendelee kufuatilia taarifa za papo hapo za mechi hizi za kufunga pazia
- Kagera Sugura inongoza 2-1 dhidi ya Singida dakika ya 57
- Edwin Balua ametoka ameingia Clatous Chama, Simba 0-0 JKT dakika ya 49
- Yanga inapata bao la tatu, Yanga 3-1 Tanzania Prisons
- Bao la tatu la Yanga linaandikwa na Kennedy Musonda
- Mashujaa wanapata bao la pili wanaongoza 2-0 dhidi ya Dodoma, sasa ni dakika ya 55
- mechi tatu hadi sasa hazina mabao Simba vs JKT, Geita vs Azam, Coastal vs KMC dakika ya 57
- Azam inaongoza 1-0 dhidi ya Geita, mfungaji Yeison Fuetes
- Ihefu inapata bao la nne, inaongoza 4-1 dhidi ya Mtibwa
- Fei Toto anaifungia Azam ikiongoza 2-0 dhidi ya Geita
- Msimamo wa wafungaji, Aziz Ki mabao 20 Fei 19
- Kagera inapata bao la tatu, inaongoza 3-2 dhidi ya Singida dakika ya 86
- Aziz KI anaifungia Yanga bao la 4
- Msimamo wa wafungaji Aziz Ki 21, Fei Toto 19
- Ihefu inaongoza mabao 5-1 dhidi ya Mtibwa Sugar
- Mechi ya Kagera vs Mashujaa imemalizika Kagera imeshinda 3-2
- Namungo inaongoza 3-0 dhidi ya Tabora dakika ya 86