Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo akipata maelezo kwa Afisa Uhusiano wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)wakati alipotembelea Banda la IFM kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu ,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja Vya Shule ya Popatlal Mjini Tanga.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo akipata maelezo katika Banda la Tume ya Ajira wakati alipotembelea Banda hilo kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu ,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja Vya Shule ya Popatlal Mjini Tanga.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo akizungumza na maelezo kwa Afisa Uhusiano wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)wakati alipotembelea Banda la IFM kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu ,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja Vya Shule ya Popatlal Mjini Tanga.
MAfisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo akipata maelezo katika Banda la Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) wakati alipotembelea Banda hilo kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu ,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja Vya Shule ya Popatlal Mjini Tanga.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo akipokea diary na taarifa mbalimbali za Tume ya Ajira wakati alipotembelea Banda hilo kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu ,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja Vya Shule ya Popatlal Mjini Tanga.
MAfisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Profesa William Pallangyo akiwa katika ya picha ya pamoja na watumishi wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) wakati alipotembelea Banda hilo kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu ,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika Viwanja Vya Shule ya Popatlal Mjini Tanga.