Sheria za bodaboda kufutwa Zanzibar.

Naibu waziri wa Ujenzi mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe Nadir Abdullatif akijibu hoja za Waheshimiwa wawakilishi Kwenye Baraza la wawakilishi linaloendelea Chukwani Zanzibar amesema madereva wa boda boda watawashughulikia kwa kuwatia adabu kwa kwa kuvunja nidhamu za kwenye njia

Naibu wa ujenzi ameyasema hayo kufuatia michango ya wajumbe wa Baraza hilo , kwa kile kinachotajwa boda boda kutokua na nidhamu ya Barabara ikiwemo kusababisha ajali na uharibu wa barabara na kusema hatua kali zitaenda kuchukuliwa juu yao mpaka watakapo kaa sawa

Ikumbukwe baraza la wawakilishi Zanzibar lilipitishe sheria ya kuwatambua boda boda mwaka jana ambapo pia waziri nadir amesema watakuja kuwafutia vipengele hivyo vilivyoruhusu biashara hizo na kuwashulikia kisheria

Related Posts