Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki akiwasili katika Viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma kwa ajili ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 Leo tarehe 31,Mei, 2024.