Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA TAN) , Wakili James Marenga (kulia) akikabidhi tuzo ya kufanikisha kulinda Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Tanzania kwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan- Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA TAN) , Wakili James Marenga (kulia) akikabidhi tuzo ya kufanikisha kulinda Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Tanzania kwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza wakati wa Kongamano la Siku mbili la Kufanya Tathmini ya Hali ya Kujieleza, Haki ya Kupata Taarifa na Uhuru wa Wana Habari Jijini Dar es salaam

Makamu Mwenyekiti wa MISA TAN, Wakili James Marenga (kulia) akiteta jambo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi wakati wa Kongamano la Siku mbili la Kufanya Tathmini ya Hali ya Kujieleza, Haki ya Kupata Taarifa na Uhuru wa Wana Habari Jijini Dar es salaam
Makamu Mwenyekiti wa MISA TAN, Wakili James Marenga akizungumza wakati wa Kongamano la Siku mbili la Kufanya Tathmini ya Hali ya Kujieleza, Haki ya Kupata Taarifa na Uhuru wa Wana Habari Jijini Dar es salaam

Mkurugenzi wa MISA TAN, Elizabeth Riziki akizungumza wakati wa Kongamano la Siku mbili la Kufanya Tathmini ya Hali ya Kujieleza, Haki ya Kupata Taarifa na Uhuru wa Wana Habari Jijini Dar es salaam