RAIS SAMIA AWASILI KOREA KUSINI KWA ZIARA RASMI YA KIKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi katika Nchi ya Jamhuri ya Korea tarehe 31 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea mara baada ya kuwasili Jijini Seoul nchini humo tarehe 31 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimtazama mtoto mara baada ya kuwasili Jijini Seoul kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi katika Nchi ya Jamhuri ya Korea tarehe 31 Mei, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Wanadispora mara baada ya kuwasili Jijini Seoul kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi katika Nchi ya Jamhuri ya Korea tarehe 31 Mei, 2024.

Related Posts