Chuo Kikuu cha Dar es Salaam- UDSM kinakualika katika maonesho ya wiki ya Utafiti na Ubunifu msimu wa 9 – 2024 yatakayofanyika 5 -7, June 2024 katika ukumbi wa Maktaba Mpya.
Akizungumza katika Ukaribisho huo, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – Utafiti, Profesa Nelson Boniface amesema mwaka huu wamejipanga vyema hivyo washiriki wajitokeze kwa wingi.