Na: Hughes Dugilo, DAR ES SALAAM. Kukua kwa Teknolojia katika Sekta ya TEHAMA na uwepo wa akili mnemba (IA), kutasaidia kuongeza tija na ushindani
Month: May 2024
Dodoma. Bunge limeelezwa ukarabati wa kivuko cha Mv Magogoni utakamilika mwishoni mwa Desemba, 2024 na kitaanza kutumika. Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amesema hayo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuzitambua hati za kimila kama dhamana ya kutoa mikopo kwa wananchi. Amesema kuwa hati
Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali
Msimu huu, Villarreal ilikuwa moja ya timu mbaya zaidi kwenye safu ya ulinzi ya La Liga, lakini haijasitishwa, kipa Filip Jorgensen kuonesha kiwango kizuri barani
Dar es Salaam. Serikali imewataka wadau wa sekta ya ununuzi wa umma kuhakikisha wanazingatia misingi ya uadilifu, uaminifu na haki katika michakato ya ununuzi wa
Mwalimu wa VETA Kipawa Ricky Sambo akizungumza na Wanafunzi wa Sekondari Waliotembelea Banda la VETA katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu,Ubunifu na Ujuzi yanayoendelea katika
Naibu waziri wa Ujenzi mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe Nadir Abdullatif akijibu hoja za Waheshimiwa wawakilishi Kwenye Baraza la wawakilishi linaloendelea Chukwani Zanzibar amesema madereva
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini ameitaka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST), kutoa mrejesho wa uwezo wa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameushukuru uongozi wa Jumuiya ya Shia Tanzania kumpongeza kwa kazi nzuri anazozifanya