Kwa mujibu wa L’Équipe, AS Monaco kwa sasa wapo kwenye mazungumzo na Chelsea kuhusu usajili wa Armando Broja (22). Klabu hiyo ya Principality kwa sasa
Month: May 2024
Rufiji. Benki ya CRDB imekabidhi msaada wa mbegu za mahindi zenye thamani Sh50 milioni, kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea katika msimu wa masika Wilaya ya
Mwanaisha Sendekwa akitoa elimu kuhusu Haki Miliki kwa wabunifu kutoka MUHAS wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yanayofanyika katika
BAADA ya msimu wa Ligi Kuu Bara kumalizika Jumanne ya Mei 28, 2024, mastaa wa zamani na makocha wamechambua ubora na mambo ya kufayafanyia marekebisho
Bodi ya Mfuko wa Barabara imekusanya mapato kwa asilimia 77 ya mapato yote ya bajeti ya mwaka 2023/24. Haya yamebainishwa bungeni na Waziri wa Ujenzi,
Arusha/Manyara. Wanawake katika jamii za wafugaji, hususan Wamasai, hawahusishwi sana katika shughuli za uchumi za kujipatia kipato au kusaidia familia zao katika mahitaji ya kila
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), akizungumza na waandishi wa habari kutangaza kuzinduliwa kwa tuzo ya Mwajiri Bora wa mwaka 2024. Hafla ya
Matokeo ambayo yanaweza kuwa mabadiliko makubwa ya kisiasa tangu mwisho wa ubaguzi wa rangi. Kulingana na takwimu za tume ya uchaguzi, kufikia sasa asilimia 11.3
Songwe. Baada ya shida ya miaka mingi, wakazi wa Kijiji cha Iseche wilayani Songwe wameanza kupumua baada ya mradi wa majisafi na salama uliokuwa ukijengwa
Kiongozi wa waasi wa Kihouthi kutoka Yemen ambao wanafadhiliwa na Iran Abdulmalik al-Houthi amesema hii leo kuwa wataendelea kwa kasi na ufanisi mkubwa harakati zao