Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande, amewataka maafisa ununuzi wa taasisi za Serikali kuhakikisha wanatumia Mfumo wa Usimamizi wa Ununuzi wa Umma Kielektroniki (NeST) pekee
Month: May 2024
Benki ya NBC imezindua rasmi msimu wa tano wa mbio zake zinazofahamika kama NBC Dodoma Marathon msimu wa nne zinazotarajiwa kufanyika tarehe 28 Julai mwaka
Mbeya. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Beno Malisa ameagiza kuanza uchunguzi wa malalamiko ya wazazi wakidai wanafunzi wa Shule ya Sekondari Isyesye wanalishwa chakula chenye
Na Gideon Gregory, Dodoma. Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa kushirikiana na taasisi nyingine za Serikali ikiwemo Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekamilisha zoezi
BENKI ya NMB imeshiriki kwenye maadhimisho ya elimu, ujuzi na ubunifu yanayoendelea kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlaly huku ikitoa fursa kwa vijana wenye
Dodoma. Wabunge wameitaka Kamati ya Bunge ya Bajeti kufanya mapitio upya ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi ili kuongeza fedha kwa wizara hiyo. Waziri wa
Na Deogratius Temba; Chamwino WANAWAKE wametakiwa kujiimarisha kiuchumi kwa kuwekeza kwenye miradi mikubwa na kushiriki kwenye nafasi za uongozi na maamuzi katika ngazi mbalimbali ili
AZAM FC imepania. Siku chache baada ya kumtambulisha kiungo, Ever Meza, klabu hiyo imekamilisha dili jingine la kumsajili mshambuliaji mpya, Jhonier Blanco kutoka klabu ya
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Bi. Queen Sendiga, akipokea nyenzo za kufundishia elimu ya fedha na majarida mbalimbali ikiwemo jarida lenye elimu ya uwekezaji kutoka
Wakati Ibrahima Konaté (25) ana furaha katika Liverpool FC, hata licha ya kuondoka kwa Jürgen Klopp, Mfaransa huyo amebakiza miaka miwili tu kwenye mkataba wake.