Baadhi ya maafisa walioshiriki mafunzo ya kuendesha zoezi la sensa Uganda ambalo limeanza Alhamisi usiku wanalalamika kuwa hawajapokea vitendea kazi ikiwemo kifaa cha kidijitali cha kurikodi
Month: May 2024

Iringa. Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James amesema tatizo la udumavu kwenye wilaya hiyo halitokani na uhaba wa vyakula isipokuwa mpangilio mbovu wa ulaji.

Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe Bw. Joshua Bituri Manumbu ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA kwa jitihada

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir pamoja na kumshukuru mwenyeji wa mazungumzo hayo Rais William Ruto ameahidi kwamba serikali yake itafanya mazungumzo hayo kwa nia

Dodoma. Mbunge wa Malinyi, Antipas Mgungusi amehoji iwapo Serikali haioni haja ya kurejesha fao la kujitoa kwa watumishi, huku akitaka wapatiwe michango yao wanapoacha kazi

Na Mwandishi wetu,Katavi MHIFADHI Mwandamizi wa Idara ya Himasheria na Ulinzi wa Kimkakati kutoka Hifadhi ya Taifa ya Katavi, Benedict Mbuya amesema hifadhi hiyo imeendelea

Tanga. TIMU za African Sports ‘Wanakimanumanu’ na Kiluvya zimefanikiwa kupanda Ligi ya Championship baada ya kutinga fainali ya First League (zamani Ligi Daraja la Pili), ambapo

SAKATA la kanuni mpya za ukokotoaji mafao ya wastaafu (kikokotoo) kupunja pensheni za watumishi, pamoja na ucheleweshaji wa malipo yake, limeendelea kutikisa Bunge, baada ya

Na Mwandishi wetu, Simanjiro Wakazi wa Kata ya Ngorika wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamekumbwa na wakati mgumu baada ya kukumbwa na mafuriko yaliyotokana na mvua

Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inatarajia kukutana kesho Jumamosi Mei 11, 2024 katika ofisi yao kuu ya Mikocheni