Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania May 10, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Month: May 2024
Matokeo hayo yamepingwa na mpinzani wake mkuu Succes Masra. Matokeo hayo yaliyokuwa yanatarajiwa Mei 21, yametolewa wiki moja mapema, na yamemuonesha Deby Itno akiwa na
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO MEI 10,2024 Featured • Magazeti About the author
Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo Tanzania (TCB) imezindua huduma ya Kikoba Mix Kidijitali kuwezesha wanachama kutengeneza kikundi mtandaoni na kuwa na uwezo wa kuweka
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) amesema kupitia Mkutano wa 26 wa wakuu wa mashirika ya Viwango ya Afrika Mashariki wanatarajia kupitisha viwango
Dar es Salaam. Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle ametoa tahadhali ya ongezeko la idadi ya watu nchini akisema linaweza kuwa neema au kinyume
Maradhi hayo yanasababishwa na hitilafu kwenye mfumo wa umeme wa ubongo kutokana na sababu kama vile ajali, minyoo inayopatikana kwenye nyama isiyoiva vizuri, kiharusi, na
BENKI ya Equity na Kampuni ya Gesi ya Oryx zimekubaliana kuiunga mkono Serikali kuhusu matumizi ya nishati safi, ili kupunguza uchafuzi wa mazingira. Rais Samia
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bw.Kaspar Mmuya,akisisitiza jambo wakati akifungua semina ya baraza la ushindani (FCT) kwa wadau wa Mkoa wa Dodoma lenye lengo
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Serikali imeweka wazi kuwa inaendelea kuboresha sheria na sera ya miliki bunifu ili kuhakikisha yanakuwepo mazingira rafiki yenye tija kwa