Mpizani wa Rais Paul Kagame, Diane Rwigara ametangaza kuwania tena urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Julai 15, 2024mwaka huu. Mbali na Diane, Rais Kagame ambaye
Month: May 2024
Pwani. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema nchi itajikita katika vipaumbele tisa, kwenye awamu ya pili ya Kampeni ya Mtu ni Afya.
Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema maoni ya baadhi ya watu juu ya kuondolewa kwa fedha za kujikimu (boom) kwa wanafunzi wa elimu
UTENDAJI wa Wizara ya Maji na taasisi zake umeifanya kutambulika kimataifa ndani na nje ya bara la Afrika kwa kazi na utekelezaji wa miradi
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC wameendeleza moto wao wakiwa chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mgunda kufuatia kuibuka na ushindi wa tatu mfululizo katika mchezo
Arusha. Changamoto za migogoro ya ardhi na mirathi imetajwa kushamiri kwenye kliniki ya haki katika Mkoa wa Arusha iliyoratibiwa na mkuu wa mkoa huo, Paul
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Mei 9 Mkuu wa Dawati la elimu ya usalama barabarani Tanzania Kamishina Msaidizi wa Polisi, Michael Deceli , ametoa rai
Kocha Mkuu wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge amesema itakuwa ni heshima kwake endapo atapata nafasi ya kuinoa timu mojawapo za Ligi Kuu Tanzania
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka wauguzi kula kiapo cha utoaji wa huduma bora.
Dar/mikoani. Hatima ya nani atateuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwania nafasi za uenyekiti wa kanda, itajulikana baada ya Kamati Kuu kujifungia kwa