Dodoma. Mvua zilizonyesha kwa takribani saa 36 zikiambatana na upepo mkali kutokana na kimbunga Hidaya zimesababisha vifo vya watu 10 na majeruhi saba, huku kaya
Month: May 2024
USHINDI wa bao 1-0 ambao Yanga iliupata juzi Jumatano dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi, ulikifanya kikosi hicho cha Miguel Gamondi
Magari ya Mizigo, Mabasi na magari mengine madogo yaliyokwama kwa siku sita katika barabara ya Lindi-Dar es Salaam eneo la njia nne (Mikereng’ende) hadi Somanga
Hayo yakijiri Ripoti zinasema Israel imefanya mashambulizi ndani ya Rafah licha ya onyo la Marekani kwamba litasita kuipa Israel silaha zake ikiwa itaendelea na mpango
Geita. Ni takribani umbali wa kilomita 35 kutoka Geita mjini, mwendo wa dakika 50 hatimaye msafara wa wadau wa elimu unawasili katika Shule ya Sekondari
Ukraine imetoa taarifa ya vifo vya watu wawili baada ya mashambulizi ya Urusi mjini Nikopol na kuongeza kuwa, ilifanikiwa kudungua ndege 17 zisizo na rubani
TANGU Tanzania inapata huru, bondia Fadhili Majiha maarufu zaidi kama Kiepe Nyani amekuwa Mtanzania na bondia wa kwanza kufikisha hadhi ya nyota nne na nusu
SERIKALI inakusudia kumuweka kikaangoni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mohammed Enterprises Limited (MeTL), Mohammed Dewji, kumhoji iwapo ameshindwa kuendesha kiwanda na mashamba ya chai, yaliyoko wilayani
Na Nora Damian, Mtanzania Digital “Wanawake tunapewa mbinu nyingi za kushiriki katika uchaguzi, tunapambana vya kutosha lakini tunarudishwa nyuma. Kuna vikwazo vingi tunaomba Serikali itende
Mlimba. Mkuu wa wilaya ya Kilombero, Danstan Kyobya ameongoza kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo kukagua matengenezo ya reli ya Tazara iliyosombwa na