Imebaki historia. Ndivyo unavyoweza kusema kuelezea maisha yanavyokwenda kasi hasa kwa timu zilizokuwa chini ya wanachama ambazo zilitisha miaka ya nyuma na sasa imebaki stori.
Month: May 2024
SERIKALI imetoa tathmini ya athari za kimbunga Hidaya, kilichotokea tarehe 3 Mei 2024, ikisema wananchi wa wilaya kadhaa zilizoko katika Pwani ya Bahari ya Hindi,
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Katika jitihada za kuwahakikishia usalama wakulima Kampuni ya Bima ya Jubilee Allianz imetangaza kuanza kutoa bima ya mazao kwa wakulima.
Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson ameagiza Serikali kuhakikisha vitabu vya mtaala mpya kwa shule za msingi ulioanza kutekelezwa, vinafika mapema kwa
Na Mary Margwe, Simanjiro Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara Fakii Raphael Lulandala amesema suala ya kuwepo kwa huduma ya Zahanati na maji ndani
Mchekeshaji Mwigizaji super star, Idris Sultan ameipa heshima tasnia ya Filamu Tanzania akiwa nchini Afrika Kusini ambako alikua kwenye mualiko maalumu kutoka Platform ya Netflix
MBUNGE wa kuteuliwa, Dk. Bashiru Ally amesema vikwazo vinavyoendekezwa na tume ya utumishi wa umma katika kuidhinisha vibali vya wahadhari kupanda vyeo, vikwamisha vyuo vikuu
*Wasema hoja zake hazina mshiko Na Ashura Kazinja, Morogoro Katibu wa Siasa, Uenazi na Mafunzo Mkoa wa Morogoro, Zangina Shanang amejibu hoja tano zilizotolewa na
Dodoma. Wakati Tanzania ikiwa na upungufu wa walimu 271,025 kuanzia ngazi ya awali, msingi hadi sekondari kwa mujibu wa Tamisemi, Serikali imesema katika mwaka wa
Yanga wana msemo wao mmoja maridadi sana ‘Daima Mbele Nyuma Mwiko’, yaani hawana nafasi ya kujuta na wako tayari kuchukua maamuzi yoyote magumu na baada