Youssouf Fofana (25) amebakiza mwaka mmoja pekee kwenye mkataba wake na AS Monaco. Kwa sasa, hakuna mazungumzo ya kufanya upya na kama Mkurugenzi Mtendaji wa
Month: May 2024
Wakati Israel ikizidisha mashambulizi yake huko Rafah, Msemaji wa Jeshi la nchi hiyo Daniel Hagari ametangaza kuwa Israel imechukua kile alichokiita “udhibiti wa kiutendaji” wa
Mbarali. “Ni kama picha ya kuigiza kumbe kweli nimepitia vipindi vigumu katika maisha ya mahusiano, nimeambulia vipigo manyanyaso, kunyimwa unyumba na hata kutelekezewa familia.” Ni
BAADA ya kuwepo kwa tetesi za nahodha wa taifa Stars, Mbwana Samatta, kuandika barua ya kustaafu kuitumikia timu hiyo, baba wa supastaa huyo ameibuka na
Umekuwa msimu mgumu kwa Dayot Upamecano (25), ambaye siku zote amekuwa akionyesha kiwango bora kabisa akiwa na Bayern Munich. Kulingana na L’Équipe, beki huyo wa
Matokeo ambayo yanaweza kuwa mabadiliko makubwa ya kisiasa tangu mwisho wa ubaguzi wa rangi. Kulingana na takwimu za tume ya uchaguzi, kufikia sasa asilimia 11.3
Dar es Salaam. Zikiwa zimepita wiki tatu tangu Lilenga Lilenga, mkazi wa Mwandiga mkoani Kigoma kudaiwa kuchukuliwa na watu wanaodaiwa ni polisi, Kamanda wa Polisi
Theo Hernández (26) anatazamia kuondoka AC Milan msimu huu wa joto na kuchukua hatua inayofuata katika maisha yake ya soka, kulingana na ripoti kutoka L’Équipe.
Simiyu. Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Serengeti, Gimbi Masaba ameshindwa kutetea nafasi ya mwenyekiti wa kanda hiyo baada ya
Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa