Arusha. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhandisi Zena Said ameonya mameneja rasilimali watu wa kada ya utumishi wa umma kujiepusha na vitendo
Month: May 2024
Kaimu Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala akizungumza na wazazi, wanafunzi na viongozi na wadau wa elimu katika mkutano
Refa Beida Dahane ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika kusimamia teknolojia ya video ya usaidizi kwa marefa (VAR) katika mechi ya kwanza ya
Geita. Wakati changamoto ya utoro ikitajwa kuchangia kurudisha nyuma jitihada za kuinua kiwango cha elimu mkoani Geita, wanafunzi wamezitaja sababu zinazochangia kukithiri kwa hali hiyo.
Na Mwandishi Wetu,Dodoma. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amepokea msaada wa 13.7m/- kutoka kwa
Dodoma. Serikali imesema itajenga shule mpya 100 za sekondari za amali nchi nzima, kuzifumua taasisi tisa za elimu na imefanya marekebisho ya sheria ya Bodi
Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIA), Dk. Zelia Njeza (kulia) pamoja na Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wanaosomea masomo ya
JINA la kocha wa Al Hilal, Florent Ibenge (62) linatajwa kupewa kipaumbele cha kwanza na mabosi wa Simba kumrithi Abdelhak Benchikha aliyeondoka mwishoni mwa mwezi
Dar/Mikoani. Hivi unajua shimo la barabara linapochongwa ili kuwekwa kiraka linapaswa lidumu kwa saa 72 tu kabla ya kuzibwa? Si hivyo tu, hata barabara inapokatwa
Mgeni rasmi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa yanayoendelea mkoani Geita, Naibu Katibu Mkuu (Elimu), Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dkt. Charles Msonde