OR-TAMISEMI Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Festo Dugange amesema takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha udumavu kwa watoto wenye
Month: May 2024
WAKATI vita kati ya Azam FC na Simba ikiendelea kusaka nafasi ya pili katika Ligi Kuu Bara, matajiri wa Dar es Salaam wanaendelea na kusuka
Mahakama ya Wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela, Paulo John (23) Mkazi wa Mapea Magugu na Athumani Misanya (31)
Gaza. Huko Gaza umati wa watu umejitokeza mitaani kufurahia baada ya kundi la Hamas kusema limeidhinisha pendekezo la kusitisha mapigano kati yake na Israel. Inaelezwa
CEASIAA Queens imesema pamoja na ugumu wa Ligi Kuu ya Wanawake, lakini kuifunga Yanga Princess nje na ndani imewapa kujiamini kuhakikisha msimu huu wanamaliza tatu
Vladimir Putin aliapishwa kwa muhula wake wa tano kama kiongozi wa Urusi Jumanne, akiongeza tena utawala wake juu ya nchi katika sherehe nzuri ya Kremlin
Dodoma. Wizara ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania inafanya mashauriano na Wizara ya Fedha itakayowezesha kuanza kulipwa kwa kifuta jacho kipya kwa watu wanaopata athari
TotalEnergies imeanzisha tena shindano lake la makampuni machanga ambapo inalenga kutoa tuzo kwa wajasiriamali 100 kutoka Afrika. Shindano la mwaka huu, ambalo linajumuisha nchi 32
Na Gideon Gregory, Dodoma. Ili kuwezesha na kuimarisha huduma ya utoaji na upatikanaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wenye sifa na uhitaji,
Vikosi vya uokoaji vilifanya kazi usiku kucha kutafuta makumi ya wafanyikazi wa ujenzi waliozikwa kwa zaidi ya saa 12 chini ya vifusi vya saruji baada