Mwanza. Mkazi wa Kijiji cha Kemakolele Kata ya Nyarero Wilaya ya Tarime Mkoa wa Mara, Mwikwabe Range (20) amejaribu kujiua kwa kujirusha chini kutoka juu ya
Month: May 2024
Madaktari bingwa na wabobezi wa Dkt.Samia Suluhu Hassan wameweka kambi Mkoani Lindi katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo kwa lengo la kuanza kutoa huduma
MKURUGENZI wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Thabit Idarous Faina amesifia usimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kwamba ulikuwa mzuri na safi, na
Dar es Salaam. Serikali imetoa Sh6.5 bilioni kwa Mkoa wa Rukwa kwa ajili ya kufanya matengenezo ya dharura ya kurejesha miundombinu ya barabara iliyoharibika kutokana na mvua
KWA mila na desturi zetu za Kiafrika mkubwa huwa hakosei, ndiyo maana tunasema bosi katoka kidogo siyo katoroka. Meneja hajafika bado siyo kachelewa na baba
NAIBU Meya wa Jiji la Dodoma, Asma Karama amepongeza mafunzo yanayotolewa na Shirika la Amend kwa udhamini wa Ubalozi wa Uswis kwa madereva bodaboda 395
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imefikia uamuzi wa kulipeleka shauri la kesi ya madai inayomkabili bondia Hassan Mwakinyo dhidi ya mdai Kampuni ya PAF Promotion
Katibu mkuu wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa, Ally Salum Hapi amewatahadharisha watu wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali katika chaguzi zijazo kupitia chama cha
MWISHONI mwa mwezi huu, raia wa Afrika Kusini watapiga kura katika uchaguzi mkuu ambao unaweza kuleta mabadiliko makubwa zaidi ya kisiasa katika miongo mitatu, huku
Kwenye shughuli ya uapisho, Rais Vladimir Putinamesema anayachukulia mamlaka ya urais nchini humo kama “jukumu takatifu”. Akasisitiza katika Ukumbi wa Saint Andrew ambako amekula kiapo