Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Damas Ndumbaro ameongoza kikao cha kujadili maandalizi ya Fainali za Mashindano ya CHAN mwaka 2024 na AFCON 2027
Month: May 2024
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda alivyowasili Bungeni jijini Dodoma tayari kuwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
Serikali imetenga jumla ya Shilingi Trillion 1.15 kwa ajili ya kujenga shule mpya za msingi na madarasa mapya kwa kipindi cha miaka 5 ambapo kwa
RAIS wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameagiza huduma za dharura zipelekwe kwenye maeneo yaliyopata athari kutokana na kimbunga Hidaya kilichoikumb
Unguja. Vyama 11 vya siasa kisiwani Zanzibar vimemvaa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema- Bara), Tundu Lissu kutokana na kauli zake vikidai
Kibarua kigumu ambacho Simba inacho katika kumbakisha nyota wake Kibu Denis anasaini mkataba mpya kinachangiwa na ufanisi wa mchezaji huyo uwanjani licha ya kutokuwa na
Iringa. Meya wa Manispaa ya Iringa, Ibrahim Ngwada amesema wanatarajia kujenga makumbusho ili kuhifadhi historia ambako Wajerumani wakati wa utawala wao walikuwa wakiwanyonga Wahehe waliomtii
Na. Mwandishi, Jeshi la Polisi Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuwashukuru wananchi wanaoendelea kushiriki katika jitihada za Serikali katika kuboresha mazingira
Kenya. Serikali ya Kenya imesisitiza shule zisifunguliwe kutokana na hali ya mafuriko inayoikumba nchi hiyo tangu mvua kubwa za El-Nino zilizoanza Machi mwaka huu. Hayo
Dodoma. Wakati Bunge la Tanzania likipitisha bajeti ya Wizara ya Uchukuzi, Serikali imesema mwishoni mwa mwaka 2024 ndege kubwa ya abiria ya Boeing 737-9 Max