Dar es Salaam. Tarehe 6 Mei 2024: Benki ya CRDB imeandika historia nyingine kwa kupokea cheti cha kimataifa cha masuala ya mazingira baada ya
Month: May 2024
Dar es Salaam. Katika jitihada za kuongeza matumizi ya nishati safi katika shughuli mbalimbali, wadau mazingira wamekuja na njia tofauti za kuhakikisha watu wanahama katika
Dodoma. Ni matumaini makubwa kwa familia ya Joseph Kalenga na mkewe Vumilia Elisha baada ya watoto wao Imani (7) na Gloria Joseph (4) waliokuwa na
Dodoma. Kilio cha gharama za usafirishaji wa mizigo, mfumuko wa bei na uharibifu wa barabara nchini, Serikali imevipatia ufumbuzi kwa kufungamanisha reli zote tatu za
Geita. Wakati kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi wa shule za sekondari mkoani Geita kikiwa chini ya asilimia 40, utoro wa wanafunzi, umetajwa kuwa sababu kubwa
Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati Zanzibar, imefanya ziara kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji
Dar es Salaam. Wauguzi na wakunga wa mkoa wa Dar es Salaam, wamelalamikia kufanya kazi zaidi ya saa nane kwa siku, pamoja na kutumia siku
Serikali imetenga jumla ya Shilingi Trillion 1.15 kwa ajili ya kujenga shule mpya za msingi na madarasa mapya kwa kipindi cha miaka 5 ambapo kwa
Dar es Salaam. Katika hatua ya kusaka hatua ya dharura, Serikali ya Tanzania imetaka huduma za haraka zipelekwe katika maeneo yaliyoathiriwa na Kimbunga Hidaya. Agizo
Kama ulishtuka kusikia bosi wa Yanga,Hersi Said yupo jijini Lubumbashi nchini DR Congo akifuata mashine mpya, basi sikia na hii namna ambavyo vigogo wa klabu