Dar es Salaam. Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), limeingia makubaliano ya kupeleka marubani wake, kufundisha na kusimamia ndege mpya za Airbus A220 za Kampuni ya
Month: May 2024
Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi na kutaja mafanikio ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC). Baadhi ya
Bao moja alilolifunga nyota wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ katika mchezo wa jana dhidi ya Mtibwa Sugar limemfanya kufikisha mabao 15 ya Ligi
Rais wa Ufaransa Emanuel Macron na Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya,Ursula von der Leyen, wamemshinikiza rais Xi Jinping wa China ambaye yuko ziarani
Moshi. Hassaniel Mrema (80), mmoja wa vijana walioshiriki tukio la kuchanganya udongo siku ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Aprili 26, 1964, anatarajiwa kuzikwa Jumatano
Zoezi la urejeshaji wa miundombinu ya barabara kuu ya Lindi – Dar es Salaam katika eneo la Somanga Mkoani Lindi ukiendelea ambapo timu ya wataalam
RAFIKI zetu wa Mwanza Pamba wamerudi Ligi Kuu. Imepita miaka 22 tangu walipoondoka zao. Umri wa mtu mzima. Nyakati zimekwenda wapi? Hatujui. Walikuwa na shangwe
Vikosi hivyo vimetangaza kufanya operesheni za kuwadhibiti waasi hao ili kulinda amani na usalama na kulinda raia na mali zao dhidi ya vitisho. Tangazo hili
Dar es Salaam. Meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob na mwenzake, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu ya
VIPO vyakula vya aina mbalimbali duniani, lakini umewahi kusikia au kula ugali uliopikwa kwa kuchanganywa na mafuta ya kupikia? Hata hivyo, katika harakati za kutafuta