Kilwa. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema hatoondoka mkoani Lindi, hadi pale agizo lake la kujengwa kwa barabara iliyokatika kujengwa ndani ya saa 72 litakapokamilika.
Month: May 2024
MABAO mawili ya Wakenya Elvis Rupia na Duke Abuya yametosha kukipatia cha Ihefu SC ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, inaendelea kujiimarisha kwenye mapambano dhidi ya ujangili, kwa kuwajengea uwezo maafisa wake kupitia mafunzo mbalimbali pamoja na kuimarisha
ZAIDI ya madereva bodaboda 200 wa jiji la Arusha wamepatiwa mafunzo maalum ya usalama na afya kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutambua vihatarishi vya
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital ZAIDI ya madereva bodaboda 200 wa jiji la Arusha wamepatiwa mafunzo maalum ya usalama na afya kwa lengo la kuwajengea
Lindi. Zaidi ya nyumba 145 zimezingirwa na maji huku nyingine 35 zikibomoka na kuharibika, kufuatia mvua kubwa iliyonyesha mkoani Lindi kwa siku tatu mfululizo na
Na Samwel Mwanga,Busega KAYA 413 zilizoko katika Kata ya Lamadi Wilaya ya Busega mkoani Simiyu zimekosa makazi baada ya nyumba zao kuzingirwa na maji kufuatia
Kilwa. Kufuatia agizo la Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa la kutaka barabara ya Dar es Salaam – Mtwara kuanza kujengwa maramoja katika eneo la Somanga,
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv SHUGHULI za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), zimeendelea kuimarika na kutoa huduma za utabiri wa kila siku, siku
MNAHESABU lakini? Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Yanga juzi kupata ushindi wa 21 katika michezo 25 iliyochezwa katikaa Ligi Kuu Bara. Yanga ilipata ushindi wa