STAA wa burudani kutoka ardhi ya Tanzania, Idris Sultan amenogesha ujio mpya wa tamthiliya ya Bridgerton, katika onesho kabambe lililowakusanya nyota daraja la kwanza kutoka
Month: May 2024
Dar es Salaam. Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob na mwanaharakati Godlisten Malisa, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka matatu ya
Serikali imetenga kiasi cha Sh 18.5 bilioni kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali nchini zitakazotolewa kama mikopo yenye masharti nafuu kupitia Benki ya NMB. Anaripoti Mwandishi
*Waomba Serikali kutambua taaluma ya ukunga katika utumishi na kuboresha maslahi yao Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakunga
Na Mwamvua Mwinyi, Rufiji MKUU wa wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle ametoa agizo kwa watu ambao bado wanaoishi kwenye maeneo yaliyozingirwa na maji
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa nchini waakisi utashi wa kisiasa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia na kutekeleza mapendekezo yote
Wananchi katika kijiji cha Lugunga kata ya Lugunga Halmashauri ya wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita wanakabiliwa na changamoto ya uwepo wa Fisi ambao wamekuwa wakijisaidia
Na Joseph Shaluwa STAA wa burudani kutoka ardhi ya Tanzania, Idris Sultan amenogesha ujio mpya wa tamthiliya ya Bridgerton, katika onesho kabambe lililowakusanya nyota daraja
Iringa. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amezindua mpango wa makambi ya madaktari bingwa waliosambaa nchi nzima kutoa za matibabu kwenye hospitali zote 184 za halmashauri.
Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame M. Mbarawa (Mb.) amesema Serikali kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeendelea kutoa huduma za udhibiti wa huduma