Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Chande (Mb.) amewaasa maafisa ununuzi wa taasasi za Serikali kuhakikisha kuwa shughuli zote za ununuzi wa umma zinafanyika katika
Month: May 2024
Korea Kaskazini yarusha makombora ya masafa mafupi ya balestikiKorea Kusini na Marekani zinashutumu uzinduzi na kuitaka Pyongyang ‘kujiepusha na vitendo vingine visivyo halali na vya
Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMI Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Dkt. Charles Msonde amewataka walimu wenye madai ya malimbikizo ya mishahara (arrears) kuwasilisha vielelezo
Manchester United inakusudia kumuuza Mason Greenwood msimu huu wa joto, lakini bado haijabainika ni vilabu gani vikubwa viko tayari kutoa ofa inayokubalika kwa mshambuliaji huyo
Huwezi kununua gari kwa sasa, aliongea Cath huku akiwa amekaza macho bila kuyapepesa. Siwezi kushindwa kununua gari wakati ninafanya kazi na ninalipwa mshahara, akajibu Juma.
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV MBUNGE wa Jimbo la Kisesa Mheshimiwa Luhaga Mpina amesema Tanzania inaripotiwa kutorosha nje ya nchi zaidi ya Tsh Trilioni 3.5
Nairobi, Mei 28, 2024 – Katika jitihada za kuboresha maisha na kukuza uchumi wa masoko inayoyahudumia, Benki ya CRDB imeendesha mjadala uliolenga kujadili ukuzaji wa
WADAU wa Semina za Jinsia na Maendeleo ( GDSS), wameiomba Serikali kusimamia na kufuatilia vipaumbele vyote vinavyoachwa katika bajeti na kuhakikisha vinafanyiwa kazi ipasavyo ili
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania May 30, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post
YANGA ndio mabingwa tena. Imebeba taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo, ikiendeleza ubabe wake kwenye safari iliyokuwa na mabonde na milima. Yanga imelichukua taji