Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Daniel Chongolo ameipongeza timu ya wataalamu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kufanya kazi kwa haraka na ufanisi
Month: May 2024
Mwimbaji mkongwe wa Marekani, Madonna, amevunja rekodi ya tamasha kubwa zaidi la muziki katika historia yake. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 65 alipata mafanikio
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana amesema viongozi wa chama hicho hawakatai kukosolewa, kusahihishwa, lakini hawakubali kuzushiwa wala kushutumiwa kwa mambo ambayo hayapo au
Dar es Salaam. Mjane Judith Wambura, aliyekuwa akilala kwa miezi miwili mfululizo katika mataa Ubungo jijini hapa, amekabidhiwa nyumba mpya iliyojengwa kwa mchango wa wasamaria wema.
Mkuu wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiondoa kitambaa tayari kuzindua Mahanga
Kumekuwa na mabadiliko mengi ya mavazi kwa wacheza soka duniani kote, lakini hili la kutoboa soksi nyuma linaonekana kuwashangaza mashabiki wengi. Hivi karibuni umezuka mtindo
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha shilingi milioni 300 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa jengo la kuhifadhia Maiti Hospitali ya Rufaa ya
Kaimu Rais wa chuo Kishiriki Cha Elimu Mkwawa kilichopo Manispaa ya Iringa Mkoani Iringa, Profesa Deusdedit Rwehumbiza amewahimiza wafanyakazi chuoni hapo kuishi yale wanayowafundisha wanafunzi
LIGI Kuu Bara inaendelea tena leo Jumatatu kwa timu nane kusaka pointi tatu na michezo minne itapigwa viwanja mbalimbali. Mchezo wa mapema saa 8:00 mchana
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), imeingia makubaliano ya kupeleka marubani wake kufundisha na kusimamia ndege mpya za Airbus A220 za Kampuni ya Ndege ya Ibom