Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa CCM -Bara, Abdulrahman Kinana amewajibu Chadema kuwa hoja zao za Katiba mpya, sheria za uchaguzi, Rais Mzanzibari na majimbo zimelenga kuwagawa
Month: May 2024
Yanga imeanza kwa kasi mbio za usajili na safari hii haitaki kuambiwa, inapanda mwewe kujionea yenyewe ubora wa mastaa inaowataka, yaani kisasa zaidi na unavyosoma
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu ameeleza kushangazwa kwake na baadhi ya wanachama na wapenzi wa chama hicho wanaohoji kauli yake
Yanga imeanza kwa kasi mbio za usajili na safari hii haitaki kuambiwa, inapanda mwewe kujionea yenyewe ubora wa mastaa inaowataka, yaani kisasa zaidi na unavyosoma
Iringa. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi amewataka wanaCCM ambao hawatateuliwa kwenye chaguzi zijazo kuacha nongwa na badala yake, watulie huku
Yanga imeanza kwa kasi mbio za usajili na safari hii haitaki kuambiwa, inapanda mwewe kujionea yenyewe ubora wa mastaa inaowataka, yaani kisasa zaidi na unavyosoma
Lindi. Kufuatia kuwepo kwa athari za mvua zitokanazo na kimbunga Hidaya, watu wawili wamefariki dunia. Mmoja kati ya waliofariki dunia alikutwa na mauti wakati akijaribu
WAKATI mabadiliko ya kikosi cha Simba katika michezo miwili iliyopita ya ligi yakianza kuwavutia baadhi ya wadau na mashabiki wa timu hiyo, kaimu kocha mkuu
Siha. Wananchi wa kata ya Sanya juu iliyopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro wameiomba Serikali kufanya msako katika Soko la Sanya juu ili kuwaondoa vijana
WAKATI za chini ya kapeti zikielezwa nyota wa Simba, Kibu Denis ana asilimia kubwa ya kusaini Yanga kwa ajili ya msimu ujao baada ya mkataba