Mkuu wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiondoa kitambaa tayari kuzindua jiko
Month: May 2024
Kigoma. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kushirikiana na Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), limeianza rasmi safari ya matumizi ya nishati safi ya kupikia, kwa
SINEMA inayoendelea ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kudaiwa kugoma kuongeza mkataba mpya ndani ya kikosi hicho inatoa picha jinsi shughuli inavyoweza kuwa pevu kwa
Arusha. Wakati ujenzi wa nyumba za waathirika wa mafuriko ya Hanang ukipiga hatua kufikia asilimia 40, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge
Dar es Salaam. Wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao eneo la Coco Beach wameeleza magumu ya kimbunga Hidaya kilivyodhoofisha biashara zao baada ya wateja kupungua. Biashara zao
NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa amesema Chama hicho kitaendelea kuwa mtetezi na mwangalizi wa Wananchi
Yanga inashuka katika mchezo wa leo kusaka pointi tatu ili kuendelea kuusogelea ubigwa wa Ligi Kuu Bara wakati Mashujaa wao wanatafuta ushindi wa kujikwamua kurudi
Serikali ya Tanzania imesema kimbunga hidaya kilichopiga katika pwani ya Afrika Mashariki kimeshapoteza nguvu na sio kitisho tena kwa nchi hiyo. Hata hivyo maafisa wameutaka
KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo Zanzibar Khamis Mbeto Khamis, amewasihi Wananchi kisiwani Zanzibar kufuata maelekezo ya kuchukua tahadhari juu ya
Na Mwandishi Maalum Ruvuma WAKALA wa barabara Tanzania(TANROADS)Mkoa wa Ruvuma,imekamilisha kazi ya kuimarisha daraja la mto Muhuwesi wilayani Tunduru ambalo liliathirika na mvua za masika