Na Mwandishi maalum,Tunduru. SERIKALI imetoa kiasi cha Sh.milioni 302 ili kuboresha mazingira na miundombinu ya kufundishia na kujifunzia kwa wanafunzi na walimu katika shule ya
Month: May 2024
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kupitia mwendelezo wa taarifa zake kuhusu kimbunga Hidaya imesema kimekosa nguvu baada ya kuingia nchi
Lindi. Zaidi ya madaraja manne wilayani Kilwa, mkoani Lindi katika barabara iendayo Dar es Salaam yamesombwa na maji, hivyo kukata mawasiliano kwenye mikoa ya kusini.
Iringa. Chifu wa kabila la Wahehe, Adam Mkwawa II ameomba kujengewa ofisi ya kichifu ili iwe rahisi kwa makundi mbalimbali wanaotaka kujua historia ya kabila
Kigoma. Tarehe kama ya leo, miaka 10 iliyopita Chama cha ACT-Wazalendo kilizaliwa na sasa kinaadhimisha muongo mmoja wa kuzaliwa kwake. Chama hicho kilianzishwa Mei 5,
Na Albano Midelo,Songea Huduma za mkoba za madaktari Bingwa zinatarajia kuanza kutolewa katika hospitali za Halmashauri zote za Mkoa wa Ruvuma kuanzia Mei sita hadi
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule leo Mei 04,2024 amezindua Bonanza la Siku ya Michezo ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira
Dar es Salaam. Katika mahusiano ya aina yoyote, hakuna anayeweza kusema hajawahi kukasirika. Mara kwa mara tunakwazana na kukasirishana, ingawa wako wale ambao hasira yao
Na Munir Shemweta, MLELE Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya
NA. MWANDISHI WETU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi