Unguja. Baada ya kujiridhisha kuwa hali ya hewa imetulia na upepo kupungua, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeruhusu usafiri wa majini kuendelea kama kawaida.
Month: May 2024
Na Mwamvua Mwinyi, Mkuranga Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Godfrey Mzava, Mei 4 Mwaka 2024 ,ameweka jiwe la msingi mradi wa maji Kimanzichana,
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kupitia mwendelezo wa taarifa zake kuhusu kimbunga Hidaya imesema kimekosa nguvu baada ya kuingia nchi
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania May 5, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The
MEI 12, mwaka huu bondia wa ngumi za kulipwa nchini na mpiga debe wa zamani wa Kituo cha Mabasi Msamvu mjini Morogoro, Karim Mandonga ‘Mtu
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO MEI 5,2024 Featured • Magazeti About the author
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam May 5, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti
*DART yaahidi kufanyia kazi maelekezo mengine kiutendaji Na Chalila Kibuda, Michuzi TV Kamati ya Bunge ya Kudumu ya TAMISEMI imesema kuwa imeridhishwa maelekezo wanayotoa kwa
Makonda akizungumza na waandishi wa habari Leo. Mei 3/4/2024 amewaalika wananchi kuleta kero mbalimbali ikiwemo kudhulumiwa au kunyanyaswa kijinsia Na. Vero Ignatus,Arusha Mkuu wa Mkoa
MABINGWA na washindi wa America’s Got Talent 2024 (AGT), Ramadhani Brothers, wamefanikiwa kufika leo Jumamosi, Mei 4,2024 katika kilele cha Mlima Kilimanjaro wakiwa na tuzo,