MKUU wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye,akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kufunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana wa Kujitolea ‘Operesheni ya Miaka
Month: May 2024
Simanjiro. Wakazi wa Kijiji cha Loiborsiret wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamewashukia mwenyekiti wa kijiji hicho Kimaai Saruni na mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo, Aloyce
Lindi. Kivuko cha MV Kitunda kinachofanya safari zake kutoka Ng’ambo ya Lindi Mjini kwenda Kitunda kimesitisha safari kwa hofu ya Kimbunga Hidaya. Jana, Wakala wa
BENKI ya Exim imeingia makubaliano na Mgahawa wa Chef’s Pride ikiwa ni pamoja na kutoa punguzo na ofa mbalimbali kwa wateja wake watakaotumia kadi
Shirika la umeme la nchi hiyo, TANESCO, lilitangaza kukatika huko kwa umeme kulitokana na hitilafu ya gridi ya umeme. Taarifa hiyo ilitolewa siku ya Jumamosi
Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected]Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika msimu wa
Dar es Salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Manispaa ya Kinondoni kutumia kodi inayokusanya katika Ufukwe wa Coco kufanya maboresho kutokana na mazingira
*Aungana na wakazi Dar kufanya mazoezi Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki mazoezi ya pamoja ya kampeni ya kitaifa inayoratibiwa na
Moshi. Mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia leo, Mei 4, 2024 maeneo ya Mlima Kilimanjaro, Wilaya ya Moshi, zimesababisha mafuriko katika kata za Msaranga na Mji
MAXI Nzengeli alipojiunga na Yanga mwanzoni mwa msimu huu, alianza kuitumikia timu hiyo kwa kishindo akifunga kwa kiwango cha kutisha kabisa akipachika mabao manane katika