MBWEMBWE zilizoonyeshwa na kipa wa Namungo FC, Deogratius Munish ‘Dida’ zimeifanya timu hiyo kuruhusu bao la kizembe katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la
Month: May 2024
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuamuru Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Joseph Selasilini, alimpe fidia ya fedha kiasi cha Sh.
Iringa. Ofisa Tarafa ya Kiponzelo, wilayani Iringa, Rukia Hassan amesema umeibuka mtindo wa baadhi ya watu kuanzisha vilabuni vya pombe za kienyeji kiholela kwenye nyumba
SIJUI kama imebadilika lakini nimekumbuka zamani. Zamani yetu shuleni. Walimu walikuwa na akili timamu kupanga tuanze na mahafali kisha twende katika mitihani. Ingewafanya wanafunzi wenye
Dar/Unguja. Kutokana na hali mbaya ya hewa baharini, safari za boti kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar na vivuko mbalimbali vimesitishwa hadi Jumatatu ya Mei
HABARI ya mjini kwa sasa ni kuhusu Kibu Denis ‘Mkandaji’. Ni kiungo mshambuliaji wa Simba anayemaliza mkataba wake kwa Wekundu wa Msimbazi hao na ameziingiza
Dodoma. Madiwani wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na maofisa ushirika watatu wamekamatwa kwa tuhuma za kufanya biashara ya tumbaku kwa mtindo wa kangomba. Akihitimisha
Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania May 4, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The
Na Munir Shemweta, MLELE Mkazi wa kijiji cha Luchima katika kata ya Majimoto halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi Bw. Aseni Jandikile