Na Nora Damian, Mtanzania Digital Wazalishaji na waagizaji wa bidhaa watakaoshindwa kubandika stempu za kodi za kielektroniki watakabiliwa na faini kati ya Sh milioni 5
Month: May 2024
Dar es Salaam. Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) inaendelea na safari yake ya kuwawezesha na kuwaendeleza wauzaji wake kupitia mpango unaojulikana kama (Retailer Development Programme).
Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya
Baadhi ya wananchi wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Bi. Gloria Lema. …………… Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),
Umekuwa msimu mgumu kwa Eder Militao, ambaye alikosa kwa zaidi ya miezi saba baada ya kurarua kano yake ya mbele kwenye mechi ya Real Madrid
Dar es Salaam. Baadhi ya wananchi wamekuwa na maoni tofauti kuhusu uendeshaji wa vivuko nchini, wengine wakishauri ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza vibinafsishwe kwa sekta
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) imeiomba serikali na tume ya mipango kuzingatia suala la jinsia na kuliweka kama lengo la kujitegemea katika dira ya Taifa
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, akiwamo Dk Mursali Milanzi, aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mtendaji, Tume ya Mipango anayeshughulikia
UJENZI wa Vivuko vya alama za pundamilia na njia za watembea kwa miguu katika Shule za Msingi Makorora na Azimio Jijini Tanga, vimewaepusha wanafunzi kuepukana
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, akiwamo Dk Mursali Milanzi, aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mtendaji, Tume ya Mipango anayeshughulikia