Moja ya habari iliyo washangaza wengi ni hii ya kijana mmoja mkazi wa Moscow hivi majuzi alipigwa faini na kufunguliwa mashtaka na polisi kwa kupaka
Month: May 2024
Serikali imesema inaendelea na juhudi za kutafuta fedha kiasi cha Sh tatu bilioni kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mto Mpiji ili kuunganisha Kibaha
Dodoma. Serikali imewataka wabunge wawe na subira wakati Serikali ikiendelea na utaratibu wa marekebisho ya sheria itakayowezesha vyombo vya usafiri vilivyosajiliwa Zanzibar kutambulika Tanzania Bara.
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv, MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo katika Bahari ya Hindi
Ubingwa wa Ligi Kuu msimu ujao hapana. Ni kauli ya uongozi wa Ken Gold, ukielezea mikakati yao ya msimu ujao baada ya kupanda Ligi Kuu
Waziri wa Afya nchini, Ummy Mwalimu akiangalia maonyesho kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani Tanzania (APHYTA). mkutano
Wikiendi iliyopita Pamba Jiji ilivunja mwiko wa miaka 23 kutopanda daraja kwenda Ligi Kuu tangu iliposhuka mwaka 2000, ilipoifunga Mbuni FC ya Arusha mabao 3-1
Fatma Rembo achangia simu janja kwaajili ya urahisishaji wa usajili wa wanachama wapya wa Ccm Iringa
Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) kutoka mkoa wa Iringa, Mhandisi Fatma Rembo
Kigoma. Katika kupambana na changamoto ya uhaba wa mafuta ya kula nchini, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linatajia kuzalisha lita za milioni 28 za mafuta
UNESCO siku ya Alhamisi ilitoa tuzo yake ya uhuru wa vyombo vya habari duniani kwa waandishi wote wa habari wa Palestina wanaoripoti vita vya Gaza,