Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) leo Ijumaa, Mei 3, 2024 saa 3:00 asubuhi imetoa taarifa ya kuimarika na kuendelea kusogea
Month: May 2024
Wazazi na walezi wametakiwa kuwa karibu na watoto wao nyakati zote katika kuhakikisha wanakuwa na maadili mazuri ili kupunguza matukio ya unyanyasaji na ukatili kwa
Dar es Salaam. Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wameingia makubaliano ya ushirikiano katika kupunguza migogoro ili kuboresha mazingira
Mvua kubwa za El-Nino zilizonyesha zimeleta athari maeneo mbalimbali hapa Nchini ikiwemo katika Mkoa wa Lindi ambapo zimesababisha uharifu mkubwa wa miundombinu ya barabara na
Na WAF – Dar Es Salaam Dkt. Samia Super-Specialized scholarship Programme imetoa nafasi za ufadhili wa masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi ambapo kwa mwaka
SERIKALI imesema inafuatilia kwa karibu mwenendo wa utoaji wa mikopo kwa njia ya kidigitali iliyoidhinishwa na kwamba itakapobainika kuwa kuna ukiukwaji wa matakwa ya leseni
NA WILLIUM PAUL, MOSHI. Wananchi wamehimizwa kuendelea kuchukua tahadhari na kuondoka katika maeneo hatarishi yenye viashiria vya kuathiriwa na maafa ili kuendelea kuwa na jamii
Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akikagua mradi wa kilimo cha mchikichi
Morogoro. Mahakahama ya Hakimu Mkazi Morogoro imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela Mohamed Omary Salange (37), baada ya kumkuta na hatia katika kosa la ukatili
Na Munir Shemweta, MLELE Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa