Wanetu wa Pamba FC aka Wana Kawekamo au ukipenda unaweza kuwaita TP Lindanda baada ya msoto wa muda mrefu hatimaye wamefanikiwa kupanda Ligi Kuu Tanzania
Month: May 2024
KIONGOZI wa kihistoria wa upinzani nchini Rwanda, Victoire Ingabire Umuhoza, amefungua kesi katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) akitaka arejeshewe haki zake za kiraia, ikiwa
Hayo yanajiri muda mfupi baada ya Ukraine nayo kudai kuwa Moscow ilifanya shambulio la kombora mjini Odesa na kuwajeruhi watu wanne. Wizara ya ulinzi ya
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kusafirisha nyara za Serikali ikiwemo mifupa 1,107 ya Simba zenye jumla
Kimahesabu ya kimpira, mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara zilikamilika siku ile ambayo Simba ilipoteza kwa mabao 2-1 mbele ya Yanga katika mechi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya utoaji wa huduma za saratani na vifaa tiba
Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na
Kama watu wote ulimwenguni watakuwa na matumizi ya rasilimali za kiikolojia kama ya Ujerumani, basi watu watahitaji dunia tatu ili kuwa na rasilimali za kutosha
Arusha. Mratibu wa Mpango wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) katika Halmashauri ya Jiji la Arusha, Amani Mlay na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani wakikabiliwa na makosa
Beki wa kati wa Azam FC, Malickou Ndoye ameonyesha nia ya kuondoka ndani ya timu hiyo baada ya msimu huu kumalizika kutokana na kutokuwa na