Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kumaliza mgogoro wa kikokotoo cha pensheni za wastaafu, kwa kurejesha kanuni za zamani za mafao zilizotumika
Month: May 2024
Na Mwandishi Wetu,DODOMA Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewaahidi watanzania kuwepo kwa Uchaguzi Huru na Haki ikiwemo uchaguzi wa Serikali za
UKIACHA mapenzi yake ndani ya klabu ya Yanga kama kuna jambo ambalo lilimtambulisha kwa ukubwa Antony Mavunde ndani ya klabu hiyo basi ni ile siku
WATUMISHI wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI)leo Mei Mosi 2024 wameungana na Wafanyakazi Duniani kote kuadhimisha Siku yao adhimu ambapo kitaifa maadhimisho yanaendelea
WAKATI tetesi za usajili zikimhusisha beki wa Yanga, Joyce Lomalisa kujiunga na Simba mwenyewe kaibuka na kuweka wazi kuwa yupo tayari kucheza timu yoyote Tanzania
Viongozi wa mataifa mbali mbali huitumia siku hii katika kuahidi kuboresha mazingira kwa wafanyakazi wao, ikiwa ni pamoja na nyongeza za mishahara na marurupu. Kauli
Moshi. Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) inapokea watu 40,000 wenye matatizo ya macho kwa mwaka ambapo miongoni mwa wanaobainika kuwa na tatizzo la
Wakaazi wa Kata ya Kighare Wilayani Mwanga leo Aprili 30, 2024 wamepokea kwa furaha mchango wa vifaa pamoja na fedha taslimu kwa ajili kuboresha maendeleo
NA VICTOR MASANGU, BAGAMOYO Wananchi wapatao elfu 3666 katika kijiji cha Kidomole pamoja na vitongoji vyake mbali mbali vilivyopo katika kata ya Fukayosi Wilayani Bgamoyo
Hakuna kitu kibaya kwenye mpira wetu kama kutengeneza balansi. Kutengeneza ulinganifu. Kocha wa timu ya taifa ikiita wachezaji, kila mtu anaangalia ulinganifu wa wachezaji wa